SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA UONGOZI NA USIMAMIZI WA ELIMU KUPITIA MAFUNZO
KWA VIONGOZI WA SHULE
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICUZI TV
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeendelea
kuimarisha uongozi na usimamizi wa elimu nchini kwa kutoa...
8 hours ago
Kufanya mazoezi ni jambo zuri kwani linaweka mwili katika hali ya ukakamavu na afya njema.Ushauri wangu ni kwamba kwa Utamaduni wetu wa Kizanzibari na Uislaam haya mambo ya kuchanganyika wanaume na wanawake katika shughuli kama hizi za mazoezi si mzuri au haufai kabisa to be the honest. Inawezekana kabisa watu kufanya haya mazoezi bila ya kuchanyanyika, yaani wanaume kwao na wanawake kwao. Hii ni kuweka sara kwa wanawake, kwani kama tunavyojua katika mazoezi kuna kuji-expose sana kwa viungo, hivyo ni vyema kutenganisha baina ya jinsia hizi mbili katika jambo kama hili.
ReplyDeleteHuo ni ushairi wangu, ni imani yangu tutaufuata.
sawa sawa maneno yako kwa mfano wanawake wakaanza kuanzia laasir mpaka saa 11:00 jioni na wanaume wakaanza kuazia saa 11 jioni mpaka saa 12 jioni inatosha mazoezi ya kweli nusu saa tu yanatosha
ReplyDelete