Habari za Punde

Kikundi cha Mazoezi cha Island cha Kilimani Zanzibar Kikiwa katika Mazoezi yake.






2 comments:

  1. Kufanya mazoezi ni jambo zuri kwani linaweka mwili katika hali ya ukakamavu na afya njema.Ushauri wangu ni kwamba kwa Utamaduni wetu wa Kizanzibari na Uislaam haya mambo ya kuchanganyika wanaume na wanawake katika shughuli kama hizi za mazoezi si mzuri au haufai kabisa to be the honest. Inawezekana kabisa watu kufanya haya mazoezi bila ya kuchanyanyika, yaani wanaume kwao na wanawake kwao. Hii ni kuweka sara kwa wanawake, kwani kama tunavyojua katika mazoezi kuna kuji-expose sana kwa viungo, hivyo ni vyema kutenganisha baina ya jinsia hizi mbili katika jambo kama hili.

    Huo ni ushairi wangu, ni imani yangu tutaufuata.

    ReplyDelete
  2. sawa sawa maneno yako kwa mfano wanawake wakaanza kuanzia laasir mpaka saa 11:00 jioni na wanaume wakaanza kuazia saa 11 jioni mpaka saa 12 jioni inatosha mazoezi ya kweli nusu saa tu yanatosha

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.