Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini
katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig
Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa mama mkwe
wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig
Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar
es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji
wana familia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu
Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma
Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe
Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na
kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe
wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu
Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama
Evelyne Warioba alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi Marehemu Hedwig Laurent Ojjik Oysterbay
jijini Dar es salaam
leo Mei 17, 2014
PICHA NA IKULU
Hee Mama mkwe Raisi anakwenda kutoa Rambi rambi.. Au Ndio anataka kujitoa kimaso maso.? baada ya kumdharau na kumtukana kuhusu katiba na kuipindisha pindisha bila yakujibu masuala 7 muhimu ya Mh. Warioba..
ReplyDeleteNaona kama hawana chemistry nzuri hawa...