Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein Azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam. Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo na ujumbe wake
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.