Habari za Punde

Ujumbe wa wadi za Makunduchi wamaliza ziara yao Kiruna Sweden

Ziara ya kikazi ya ujumbe wa wadi za Makunduchi imemalizia kwenye makumbusho ya watu wajulikanao Sami, ambao maisha yao ni kama ndugu zetu Wamasai. Ziara ya kwenye kumbusho ni muhimu kwani wadi za Makunduchi zina azma ya kuanzisha kumbusho lake. Kutoka kushoto ni ndugu Mohd Simba, Abdallah Ali Kombo, mwalimu Haji Kiongo, Mohamed Muombwa na bi Mariam, diwani wa Mtegani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.