Habari za Punde

Dkt Shein Arejea Kutoka Uingereza

STATE HOUSE ZANZIBAR
OFFICE OF THE PRESS SECRETARY
PRESS RELEASE
    Zanzibar                                                              28 Juni, 2014
---
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amerejea nchini leo kutoka Uingereza ambako alikuwa na ziara maalum ya wiki mbili.

Katika ziara hiyo Dk. Shein alifuatana na Mke wake Mama Mwanamwema Shein pamoja na maafisa waandamizi wa Serikali.

Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Dk Shein alipokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.


Postal Address: 2422 Tel.+255 776 613 015, Fax: 024 2231822 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.