Msikiti wa Kibweni Msheli shelini jirani na majengo ya Mh:
Raza unahitaji mchango wako kwani umo katika eneo la utanuzi wa barabara. Hivyo
waislamu wamejitolea kuuza nyumba zao zilizojirani na msikiti huo kwa ajili ya
kupisha upanuzi wa mskiti huo.
WASHIRIKI 1500 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI KUSHIRIKI KONGAMANO LA KILIMO NA
LISHE
-
Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV
WATALAAM zaidi 1500 wawekimo Wanasayansi, watunga sera kutoka sehemu
mbalimbali duniani wanatarajiwa kushiriki Kongamano la ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment