Habari za Punde

Wananchi wa Kijiji cha Pale Wakiangalia Majina yao katika Daftari la Wapiga Kura

 Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakiangalia majina yao katika Kituo cha Skuli ya Pale Mkokotoni Unguja, Kuwataka Wananchi wa Jimbo la Tumbatu kuangalia majina yao kama yako sawa na kuweka pingamizi kwa Wananchi sio wakazi wa eneo hilo hawastaili kupiga kura katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.