Kuimarika kwa Miundombinu ya Barabara yamewarahisisha Wananchi wa Vijiji kwa kusafirisha mazo ya kwa njia ya salama na kwa haraka, kama inavyoonekana barabara hii kutoka Wilaya ya Kati Unguja na kuungana na barabara ya Wilaya ya Kaskazini Unguja hili ni eneo la Uzini. na kuungana na barabara ya Upenja hadi Kinyasini.
Mgongo wa ngisi huo barabara ya Upenja JKU.Labels
- .
- `
- 8
- AFYA
- AFYA.
- AJALI
- BIASHARA
- BURUDANI
- DINI
- ELIMU
- FILAMU
- HABARI
- HARUSI
- HOSPITALI
- I
- JAMII
- KATUNI
- Kii
- KILIMO
- KIMATAIFA
- KITAIFA
- Ku
- MAGAZETI
- Mahkamani
- MAISHA
- MAKALA
- MAKALA AFYA.
- MAKALA.
- MATUKIO
- MATUKIO.
- MICHEZO
- MITAANI
- MIUNDOMBINU
- MSAADA
- Ok
- SIASA
- TANGAZO
- TAWA YAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI
- TEKNOLOJIA
- UCHUMI
- UTAFITI
- UTALII
- VIDEO
- VIJANA
- VISA INTERNATIONAL YAZINDUA TAWI TANZANIANa Mwandishi wetu 16.07.2025DAR ES SALAAM
- WEZI
Tafsiri ya Lugha
Popular Posts
-
Na Mwandishi Wetu, West Kilimanjaro Jamii imetakiwa kushirikiana kikamilifu katika kudhibiti uharibifu wa mazingira ili kupunguza athari za ...
-
Mshambuliaji wa Timu ya JKU akimpita beki wa Timu ya Muembemakumbi City wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Priemer League mche...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar in...
-
Na Mwandishi Wetu, JAB Vitambulisho vipya vya kidijitali vinavyoendelea kutolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) vimepokele...
-
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imefanya ziara kisiwani Pemba kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika Afisi za Tume ya...
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BLOGU RAFIKI
-
-
COSTECH Yasisitiza Ulinzi wa Bunifu Kabla ya Kubiasharisha - Kibaha, Pwani TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imesisitiza umuhimu wa wabunifu kulinda bunifu zao kabla ya kuziingiza sokoni, kwa lengo ...1 hour ago
-
Elimu : Bajeti za Elimu Zisipuuzwe wakati wa misukosuko ya Kiuchumi na Kisiasa Duniani - Kikwete na Malala Waonya. - Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Malala Yousafzai, wameonya juu ya mwenendo hatarishi duniani wa kupunguza au ku...1 day ago
-
MAHOJIANO YA TAUSI SUEDI NA AMRI NGOYE KUHUSU CSI KUPITIA KWANZA PRODUCTION NCHINI MAREKANI - Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl7 years ago
Marafiki Duniani
Popular Posts
-
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar majira ya mchana kwa Ndege na kuendelea na taratibu za Maziko yatafanyika katika Mtaa wa...
-
The United Republic Of Tanzania National Examination Council of Tanzania Form Four Examination Results 2017/2018 The National E...
-
Makamanda wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Waziri Kiongozi wa Kwanza wa Zanzibar na Brigedia Jenerali Mstaaf Ramadhani Haji Faki...
-
Na Miza Kona/Rahma Khamis Maelezo-Zanzibar Jumla ya wanafunzi 16,744 wamechaguliwa kuendelea masomo ya kidatu cha tatu kati ya wanafun...
-
Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku (kushoto), akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofa...
-
Mama mjazito akihangaika na hatimaye kupoteza maisha kutokana na mimba za utotoni..Video ipo hapo chini baada ya maelezo mafupi
-
Hutuba ya Mhe Waziri wa Afya Nd. Mahmoud Thabit Kombo kwa Waandishi wa Habari Katika Maadhimisho ya Siku ya Malaria Dunia Zanzibar, 22...
-
Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za K...
Inapendeza na inattia moyo kwa kweli. Miaka kama sita saba hivi tukiitumia njia hii ya kutoka JKU Upenja hadi Dunga Mitini, ilikuwa shida kweli.
ReplyDeleteLakini jambo moja lazima tuliseme, hizi barabara za Zanzibar zote takriban (za mijini na vijijini) kwa nini zinakosa viwango vya kuridhisha. Kwanza barabara huwa nyembamna sana, pili huduma za vituo vya kupumzikia wasafiri (ili kuwasitiri kwa jua na mvua n.k) huwa vinakosekana??
Matokeo yake baada ya miezi michache tuu hivi utaona barabaara zinaanza kufa. Sijui tatizo nini, tusaidieni wenye kujua.