Kuimarika kwa Miundombinu ya Barabara yamewarahisisha Wananchi wa Vijiji kwa kusafirisha mazo ya kwa njia ya salama na kwa haraka, kama inavyoonekana barabara hii kutoka Wilaya ya Kati Unguja na kuungana na barabara ya Wilaya ya Kaskazini Unguja hili ni eneo la Uzini. na kuungana na barabara ya Upenja hadi Kinyasini.
Mgongo wa ngisi huo barabara ya Upenja JKU.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yapokea Karatasi za Kupigia Kura Uchaguzi
Mkuu 2025
-
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina
(kushoto) akisaini hati za makabidhiano ya Karatasi za Kupigia Kura na
Mkurugenzi Mte...
7 hours ago
Inapendeza na inattia moyo kwa kweli. Miaka kama sita saba hivi tukiitumia njia hii ya kutoka JKU Upenja hadi Dunga Mitini, ilikuwa shida kweli.
ReplyDeleteLakini jambo moja lazima tuliseme, hizi barabara za Zanzibar zote takriban (za mijini na vijijini) kwa nini zinakosa viwango vya kuridhisha. Kwanza barabara huwa nyembamna sana, pili huduma za vituo vya kupumzikia wasafiri (ili kuwasitiri kwa jua na mvua n.k) huwa vinakosekana??
Matokeo yake baada ya miezi michache tuu hivi utaona barabaara zinaanza kufa. Sijui tatizo nini, tusaidieni wenye kujua.