Waziri wa nchi Afisi ya Makmo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar, Moh’d Aboud, akimkabidhi mchango kutoka Idara ya Maafa,
Muathirika mmoja katika Wilaya ya Mkoani Pemba.
Baadhi ya Waathirika wa Maafa wa Wilaya ya
Mkoani Pemba, wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais, Mh,
Moh’d Aboud Moh’d, akizungumza nao na kuwafariji kufuatia Majumba yao
kuharibika kwa Upepe Mkali uliovuma Miezi miwili iliopita.
Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais , Moh’d Aboud, akizungumza na baadhi ya
Wananchi waliopata maafa yaliosababishwa na Upepo mkali uliovuma miezi miwili
iliopita , huko katika ukumbi wa Umoja ni Nguvu Mkoani Pemba
No comments:
Post a Comment