Habari za Punde

Bi Mwanaid Saleh Update

Bi Mwanaidi Saleh ambaye yupo India kwa matibabu baada ya kuungua moto takriban miezi mitano iliyopita tayari ameshaanza matibabu baada ya kufanyiwa operesheni ya kwanza hivi leo na anaendelea na matibabu kwa mujibu wa taarifa tulizoletewa kutoka India
 
Credit Ally Saleh Face book

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.