MENEJA wa Kinywaji cha Grand Malt,
Consolata Adam akitoa maelezo katika makabidhiano ya vifaa kwa timu
zinazoshiriki ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt yaliofanyika katika uwanja wa
Amaan.(Picha na Haroub Hussein).
RAIS wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA),
Ravia Idarous Faina akizungumza katika makabidhiano ya vifaa kwa timu
zinazoshiriki ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt yaliofanyika katika uwanja wa
Amaan.(Picha na Haroub Hussein).
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utalii na
Michezo, Mhe. Said Ali Mbarouk akihutubia katika hafla ya makabidhiano ya vifaa
kwa timu zinazoshiriki ligi kuu ya Zanzibar Grand malt, kulia Meneja wa Kikwaji
cha Grand Malt, Consolata Adam na kushoto Rais wa ZFA , Ravia Idarous.
Makabidhiano hayo yalifanyika katika uwanja wa Amaan.(Picha na Haroub Hussein).
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utalii na
Michezo, Mhe. Said Ali Mbarouk akimkabidhi vifaa Afisa Michezo wa Mafunzo ,
Khamis Ali wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo vilivyotolewa na Grand
Malt.(Picha na Haroub Hussein).
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utalii na
Michezo, Mhe. Said Ali Mbarouk akimkabidhi vifaa Mwenyekiti wa Kamati ya
Waamuzi , Issa Ahmada Jogoo wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo vilivyotolewa
na Grand Malt.(Picha na Haroub Hussein).
No comments:
Post a Comment