MRAJISI wa mahakama Pemba, ambae pia ni
Hakimu wa mahakama ya mkoa Chakechake, Haji Omar Haji akifungua mafunzo wa siku
mbili kwa wasaidizi wa sheria wa majimbo ya Pemba, juu ya sheria za ardhi,
mafunzo yalioandaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC, ambapo
yalifanyika afisini kwao mjini Chakechake (picha
na Haji Nassor, Pemba)
MSAIDIZI wa sheria Jimbo la Konde Masanja Mabula Shauri
akiuliza suali kwenye mafunzo wa siku mbili kwa wasaidizi wa sheria wa majimbo ya
Pemba, juu ya sheria za ardhi, mafunzo yalioandaliwa na kituo cha huduma za
sheria Zanzibar ZLSC, ambapo yalifanyika afisini kwao mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment