Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Awaandalia Futari Watoto Yatima Mazizin.


Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, katika makaai yao Mazizini leo.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akijumuika na Watoto wa Nyumba ya Watoto yatima mazizini akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.

Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, katika makaai yao Mazizini leo.



                                                   Tunapiga Msoso wa Futari hapa.
Watoto Yatima wa Nyumba ya Wtoto Mazizini wakiwa katika futari walioandaliwa na Mkewa Rais wa Zanzibar Mama Manamwema Shein. 
Mtoto Mulhati Ismail akitowa shukrani kwa Mke wav Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kwa kuwaandalia futari hiyo katika makaazi yao mazizini Zanzibar. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Wanawake na Watoto, Asha Abdalla, akitowa neno la shkrani kwa Mama Shein na Ujumbe wake uliomuwakilisha kujumuika katika futari hiyo leo.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Bolizi Seif, akisalimiana na kuwaaga Watoto Yatima wa Nyumba ya Serekali ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar baada ya kujumuika nao katika futari walioandaliwa na Mama Mwanamwema Shein.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.