Habari za Punde

Ziara ya Makamu wa Rais Mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa Dini na Viongozi wa Mkoa wa Kigoma wakati alipofanya ziara ya siku moja Mkoani humo leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa kigoma Mhe. Issa Machibya kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja Mkoani humo leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wananchi na Viongozi wa Mkoa wa kigoma kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja Mkoani humo leo.(Picha na OMR)

1 comment:

  1. Hawa Viongozi wa Kiafrica hasa Watanganyika na Zanzibar Wanashuka Matumbo tuu hata Wakivaa Nguo au Uniform zao za Kazi haziwapendezi.. Utaona Mitumbo Imekua mbele kama Wana mimba ya watoto 10... Na kila Kiongozi Akipanda Cheo ndio Na Tumbo lake Huongezeka kwa Riba na Rushwa.. Kule Ulaya humuoni Kiongozi wa juu kuwa na Tumbo kama Kapu na hata kama wapo basi ni wachache sana..

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.