Habari za Punde

Michezo ya Majeshi Uganda na Rwanda Uwanja wa Amaan Uganda Imeshinda 2---1

Mchezaji wa timu ya Jeshim Uganda akipiga mpira wakati wa mchezo wao na timu ya Rwanda uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Uganda imeshinda 2-1.
Mchezaji wa timu ya akimpita beki wa timu ya Rwanda katika mchezo wa majeshi yAfrika Mashariki uliofanyika katika uwanja wa Amaan timu ya Uganda imeshinda 2--1 
                       Mshambuliaji wa timu ya Iganda akiwapita mabeki wa timu ya Rwanda.



Wachezaji wa Uganda wakishangilia bao lao la pili lililofungwa kipindi cha pili cha mchezo huo 
Mchezaji wa timu ya Uganda akipfunga goli la pili kuipatia timu yake katika mchezo wa mpira wa miguu uliofanyika uwanja wa Amaan,timu ya Jeshi Uganda imeishinda Rwanda kwa mabao 2--1


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.