Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki Simba na Mafunzo Amaan. Simba imeshinda 2--0

 Mshambulioaji wa timu ya Mafunzo akijiandaa kuzuiya mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Simba imeshinda 2--0. dhidi ya mafunzo.
Mbambuliaji wa timu ya mafunzo akiweka majaro golini kwa timu ya Simba mchezo muliofanyika uwanja wa amaan jioni leo.

 Mbambuliaji wa timu ya mafunzo akimpita beki wa timu ya simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan jioni leo. simba imeshinda 2--0.













 Mbambuliaji wa timu ya mafunzo akiweka majaro golini kwa timu ya Simba mchezo muliofanyika uwanja wa amaan jioni leo.

1 comment:

  1. mechi ya kusisimua, nadhani timu ina alicheza bora alistahili kushinda

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.