Habari za Punde

Mchezo wa Netiboli kati ya Burundi na Rwanda uwanja wa JKU Saateni

Wachezaji wa timu ya Burundi na Rwanda wakiwania mpira katika mchezo wao wa mwisho ya michezo ya majeshi yanayotarajiwa kufikia tamati keshokutwa 31-8-2014, katika uwanja wa Amaan Zanzibar.timu ya Burundi imeshinda mchezo huo.
Mchezaji wa timun ya Burundi akijiandaa kudaka mpira na huku mchezaji wa Rwanda akijiandaa kumzuiya katika mchezo huom wa Majeshi ya Afrika Mashari uliofanyika uwanja wa JKU saateni Zanzibar.
                 Mchezaji wa timu ya Rwanda akijiandaa kutowa pasi kwa mchezaji mwezake
Mchezaji wa timu ya Rwanda akiwa katikati ya wachezaji wa timu ya Burundi akijiandaa kutoa pasi kwa mchezajin mwezake wakiti wa mchezo wa mwisho wa netibali uliofanyika uwanja wa jku saateni Zanzibar. 




Mchezaji wa timu ya jeshi Rwanda akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa mwisho wa michezo ya 8 ya Michezo ya Majeshi Afrika Mashariki yanafikia kilele tarehe 31-8-2014, mchezo uliofanyika katika uwanja wa JKU saateni timu ya Burundi imeshina

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.