Habari za Punde

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi ya Diaspora wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Agosti 14, 2014.
Pamoja naye ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Taasisi ya Diaspora Bw. Emmanuel Mwachullah (wa pili kulia), Mwana-Diaspora Dennis Londa (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora Bi. Rose Jairo
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Agosti 14, 2014(Picha na Ikulu)



1 comment:

  1. Hiyo Diaspora ni ya Mbeya au ???????

    Kungangania Ukoloni Mambo Leo kwakutumia jina la Muungano wa Kisiasa TANZANIA. Kunawokesha WATANGANYIKA haki zao za Historia ya Nchi yao waipendayo Tanganyika.

    Mpaka sasa kuna romers kwamba Watanzania Wanaoishi Nje ya Tanzania Wanataka Dispora Yao Iwe na Jina la Historia yao ambalo ni TANGANYIKA......Nikufuatia kwamba Wazanzibari tayari Wana Dispora zao katika Nchi mbali mbali na kwakawaida hawatumii Jina la Tanzania bali hutumia Zanzibar Diaspora..

    Mimi ningemshauri Mh. J.K kukubaliana na Watanzania wanaoishi nje kutumia Jina la Uhuru yaani Tanganyika hasa kwavile jina la Tanzania ni la Muungano yenye Miujuza Mikubwa. Shime Watanganyika jiandaaeni nanyinyi mupate Mualikwe UKILU na JK... Kuna Watanganyika hapa Walilia waliposikia Wazanzibari Waishio Nchi za Nje walialikwa ikulu ya Zanzibar..

    Wengine Walifika kutoa commets za Ubaguzi nakusema Walioalikwa ni WAMANGA.. Hamesahau kwamba Wtanganyika kama vile Wapare, Wachaga, Wasambaa na baadhi ya Wagogo nao huwa na Rangi ..Jee tuseme na Tanganyika Inakaribisha Wamanga.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.