Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Ahudhuria Mazishi ya Mjane wa Marehemu Mzee Idrisa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa Chukwani leo
Wananchi na Waislamu wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia ugongo katika kaburi la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.