Habari za Punde

Taarifa Muhimu kwa Wamiliki Ardhi, Nyumba na Mashamba Zanzibar



 Idara ya Ardhi na Usajili imemaliza Utambuzi wa Wamiliki wa Ardhi katika eneo la Mji Mkongwe na Shehia 14 za Ng'ambo. Usajili umeanza rasmi.

 Kwa waliopo nje ya Zanzibar na wanamiliki ardhi katika maeneo hayo, wawasiliane na Mrajis wa Ardhi mrajisardhi@yahoo.com au 255-24-2232703

kwa taarifa zaidi. Bonyeza www.smole.or.tz.

Kwa taarifa ya utambuzi piga +255 777 777099

Au tume ujumbe kwa <shawanasoud@yahoo.com> kujua kama ardhi unayoimiliki imeshatambuliwa.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.