Habari za Punde

Usalama Barabarani Zenj

 Mwalimu wa skuli ya maandalizi Sebleni akisimamisha magari ili kutowa nafasi kwa wanafunzin kuvuka barabarac maeneo ya sebleni barabara ya amaan, Watoto wanahitaji uangalifu wakati wa kutumia barabara wakati wa kwenda skuli na kurudi, ili kuwac katika hali ya Usalama na kuepusha ajali.Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabari kimeazisha somo maalum katika maskuli ya Zanzibar kutowa elimu ya matumizi ya barabara kwa wanafunzi mbalimbali zoezi hilo limeaza kwa skuli ya Vikokotoni na kuendelea kwa Skuli nyegine ili kuondoa tatizo la ajali kwa Wanafunzi wanapotumia barabara. 

Usalama

1 comment:

  1. Hiyo ni nini walimu wangu nyumbani au bado kufanya, watoto wadogo kwa njia ya barabara ni vigumu kweli kweli, hivyo haja kwa msaada huo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.