Habari za Punde

Wajasiriamali Nchini China wakiwa katika Soko la Mbogamboga Mji wa Lijiang

Wafanyabiashara ya mbogamboga katika soko hilo mjini lijiang wakiwakatika harakati za kupanga bidhaa zao za mbogamboga, Bidhaa hii ya mbogambago hutumiwa sana na Wananchi wa China katika mloa wao hutumika sana mbogamboga kuliko samaki na nyama.Nilibahatika kutembelea Soko hili na kujionea bidhaa mbalimbali zinazoliwa na Wakulima wa Wananchi.   

Viazi Vitamu vya China mdau hivyo vikiwa na nadha ya aina yake.vikiwa katika soko lambogambago mjini liajing China, huuzwa kwa kilo


Wafanyabiashara wa soko la mbogamboga wakisubiri wateja wao kupata mahitaji ya bidhaa za mbogamboga, sokoni hapo  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.