Habari za Punde

Dk.Shein akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa ICT nchini Samoa

 Baadhi ya mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa ,mkutano huo wa siku nne unaendelea katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samaoa.]
 Baadhi ya mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa ,mkutano huo wa siku nne unaendelea katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samaoa.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kibiashara cha Kimataifa International Trade Center,ICT Bibi Arancha Gonzalez akiwa na ujumbe wake jana katika jingo la mkutano wa Tatu wa kimataifa wa nchi za Visiwa.
 Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa makumbusho ya Taifa nchini Samoa Mainifo  Viliamu,alipotembelea jana akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa ziarani huko katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipewa maelezo jana wakati walipotembelea Makumusho ya Taifa la nchi ya Samoa na msimamizi wa makumbusho hiyo Mainifo Viliamu.[Picha na ramadhan Othman,Samoa.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.