Habari za Punde

Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Benki ya Dunia

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.