Habari za Punde

Ligi Kuu Malindi na Polisi uwanja wa Amaan timu ya Malindi imeshinda 1--0.

 Jopo la Uongozi na Makocha wa timu ya Malindi wakipanga mkakati kwa timu yao wakati ikicheza na timu ya Polisi ikiwa mbele kwa bao moja lililofungwa katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo wa ligi kuu ya grand malt, mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.
                  Mshambuliaji wa timu ya Polisi akimtoka mlinzi wa timu ya malindi
Mchezaji wa timu ya polisi Abdalla Omar akikimbilia mpira huku beki wa timu ya malindi Said Mohammed akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa amaan.timu ya malindi imeshinga 1--0. 


Mshambuliaji wa timu ya Polisi akimpita beki wa timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Malindi imeshinda 1--0. 




Kocha Mstaaf wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Small Simba Abdulhani Msoma akiwa na kocha mkuu wa timu ya Mafunzo Hemed Moroco akitmuelekeza na kutowa marekeshisho kwa wachezaji wa timu za Polisi na Malindi wakiwa katika mchezo wa ligi ya grand malt iliofanyika uwanja wa amaan. 

Mshambuliaji wa timu ya Polisi Hassan Suleiman, akijiandaa kuzuiya mpira huku beki wa timu ya Malindi Haule Jeremia, akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya malindi imeshinda 1--0.
Golikipa wa timu ya malindi Said Omar, akidaka mpira huku mshambuliaji wa timu ya Polisi Abdalla Omar, akiwa karibu kuleta madhara, wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt iliofanyika uwanja wa 
amaan
Kocha Mkuu wa timu ya Polisi akitowa maelekezo kwa wachezaji wake katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan.
Kizazaaa golini kwa timu ya malindi wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan timu ya malindi imeshinda 1--0.
Kocha wa timu ya Polisi Hafidh Badru akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya grand malt kati ya timu yake na timu ya Malindi mchezo uliofanyika uwanja wa amaan malindi imeshinda 1--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.