Habari za Punde

Maalim Seif Akutana na Waziri Mkuu wa Zamani wa Uingereza Brown.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Gordon Brown (kushoto) na wajumbe wengine huko jijini Istanbul wanakohudhuria mkutano wa Dunia wa Uchumi (WEF). Kati kati ni Balozi wa Tanzania nchini Itali, ambaye pia anahusika na Uturuki, Balozi James Alex Msekela
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Gordon Brown (kushoto) jijini Istanbul wanakohudhuria mkutano wa Dunia wa Uchumi (WEF).

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif
 Sharif Hamad akifafanua jambo wakati walipokuwa
 wakibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza
 Gordon Brown (kushoto) jijini Istanbul wanakohudhuria
 mkutano wa Dunia wa Uchumi (WEF).(Picha na Salmin Said Uturuki)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.