Habari za Punde

Maalim Seif Ahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif, akisalimiana na Kiongozi wa Istambuli wakati akiwasili katika ukumbi wa mkutano. wa Kimataifa wa Uchumi unaofanyika nchini huo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif akiwasili ukumbi wa mkutano na Ujumbe wake.
      Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif akiwa na Mkutano
na Ujumbe wake


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.