Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Chake akutana na Watendaji Wake





MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe: Hanuna Ibarahim Masoud, akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa kisiwani Pemba,huko ofisini kwakwe chake chake, ikiwa ni kikao cha kwanza kwa viongozi hao kukutana nao tokea alipoteuliwa na Rais wa Zanzibar mwezi uliopita.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.