AFISA kutoka baraza usimamizi wa mazingira
Tanzania bara, NEMC mwalimu Carlos Mbuta, akitoa mada juu ya kazi zinazofanywa
na NEMC, kabla na baada ya uchimbaji wa gesi, mafuta na madini, kwenye mafunzo ya
kuandika habari za mafuta, gesi na madini yalioandaliwa na JET, yaliofanyika
hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar –es Salaam (picha na Haji Nassor, Dar-es Salaam)
MKUFUNZI kutoka mfuko wa vyombo vya habari Tanzania
TMF, Radhi Mwanga akieleza fursa (local content) ambazo zinapatikana wakati wa
uchimbaji wa mafuta, gesi na madini, kwenye mafunzo ya kuandikia rasilimali
hizo, yalioandaliwa na JET yaliofanyika hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar- es
Salaam (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment