AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,
Mhe:Amran Massoud Amran akifungua mafunzo ya siku moja kwa watu wenye ulemavu,
juu ya kukabiliana na maafa huko katika Ofisi za Tasaf Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AFISA Maafa kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Pemba, Khamis Arazak akielezea majukumu ya idara ya maafa kwa watu wenye
ulemavu, juu ya kukabiliana na maafa pale yanapotokea.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
DK Suleiman Ali Mohammed kutoka Red Cross Pemba,
akifahamisha jinsi gani huduma ya kwanza inaweza kutolewa, kwa mtu aliyepata
ajali na kutaka kujuwa jee yuko hai au laa, kwa kumsaidia pumzi wakati
alipokuwa akitoa mafunzo kwa watu wenye ulemavu juu ya kukabiliana na maafa
pale yanapotokea, hukoa katika ukumbi wa Tassaf Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment