Mchezaji wa timu ya Mtende Rangers akiwapita mabeki wa timu ya Idumu ya Unguja Ukuu, katika mchezo wa kirafii uliofanyika uwanja wa Mao.
Mchezajhi wa timu ya Idumu ya Unguja Ukuu akiokoa mpira golini kwao wakati wa mchezo wao wa kirafiki nma timu ya Mtende Rangers, uliofanyika uwanja wa Mao.
Viongozi wa timu ya Idumu ya Unguja Ukuu wakifuatilia mchezo wao wa kirafiki na timu ya Mtende Rangers, uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Mtende imeshinda 2--0.
Mchezaji wa timu ya Idumu ya Unguja Ukuu, akizuiya mpira wakati wa mchezo wao wa kujipima nguvu kujiandaa na Ligi Kanda, inayotarajiwa kuazi hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment