Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akigonganisha glasi na Viongozi mbali mbali kuonesha isahara ya uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani wa mabadiliko ya Tabianchi wakati wa chakula katika ukumbi wa Orator Hotel,Apia Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa Mauritius wakati wa chakula baada ya uzunduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani wa mabadiliko ya Tabianchi jana.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma Abdulhabib Fereji(wa kwanza kulia) na Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Balozi Mohamed Raamia Abdiwawa (katikati) wakiwepo maafisa wa katika ujumbe wa Rais na wajumbe wengine katika vikao mbali mbali vya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa vinavyoendelea katikamkumbi tofauti Apia Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
Baadhi ya Maafisa wa Serikali katika Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakiwa katika vikao vya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa vinavyoendelea katika kumbi mbali mbali Apia Samoa,[Pich na Ramadhan Othman,Samoa.]
Wajumbe kutoka nchi mbali mbali ni miongoni mwa wajumbe walioshiriki katika vikao tafauti vilivyofanyika katika kujadili masuala ya kijamii ikiwa ni sehemu ya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa nchi za Visiwa uanoendelea Apia Samoa. [Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
No comments:
Post a Comment