Habari za Punde

Dk Shein ashiriki uzinduzi wa mpango wa WIOCC Samoa

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje ya nchi wa Seychels Jeun-Paul Adam baada ya Waziri huyo kutoa hotuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani namabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa   ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa  Nchi za Visiwa unaendelea.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.],[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma  Abdulhabib Fereji,pamoja na viongozi wengine wakiwa katika  Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]


 Baadhi ya washiriki katika uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea wakifuatilia kwa makini hutuba mbali mbali zilizotolea na Viongozi kutoka Nchi tofauti,(kushoto) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaifa Mahadhi Juma Maalim.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
 
Baadhi ya wageni mbali mbali walioshiriki katika uzinduzi wa  Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea  wakiondoka baada ya kumalizika zoezi la uzinduzi wa mapango huo jana katika viwanja vya Orator Hotel,Apia Samoa,[Picha na Ramadhan Othman,Samoa
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.