Habari za Punde

Wafanyabiashara Kando ya Barabara Wastopishwa Darajani

 Eneo la kisiwandui jirani na benki ya Barclays kisiwandui likiwa katika hali ya uwazi baada ya kutolewa taarifa kutofanya biashara kando ya barabara katika mji na maeneo ya uwazi mjini.ili kuweka maeneo hayo ya uwazi katika hali ya mazingira safi.
Wafanyabiashara katika maeneo ya darajani pembeni ya barabara wakitafakari baada ya Baraza la Manispa kuzuiya ufanyaji wa biashara kando ya barabara za mjini ili kuweka mazingira safi.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.