Habari za Punde

Mkutano wa Hadhara Gombani ya Kale CUF

KATIBU Mkuu wa CUF Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wamachama na CUF kisiwani Pemvba katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Gomabni Kongwe Chake Chake Pemba

Mkurugenzi wa Haki za Binadamu CUF Ndg. Salim Bimani akihutubia katikas mkutano huo katika viwanja vya gombani ya kale pemba. 

MKURUGENZI wa mambo ya nje wa CUF,Ismail Jussa,akizungumza na wanachama wa CUF kisiwani Pemba, katika mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Gombani kongwe kisiwani Pemba.
NAIBU katimu mkuu wa CUF Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na wanachama wa CUF kisiwani Pemba, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Gombani Kongwe kisiwani Pemba.
                 Wananchi wakifuatilia mkutano wa hadhara katika viwanja vya gombani ya kale pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.