Habari za Punde

Dk Shein azungumza na Balozi wa Marekani nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na  Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na  Ramadhan Othman Ikulu.]



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na  Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.