Habari za Punde

Mafundi Wakifunga Taa za Solar za Kuongozea gari.

 Mafundi wa wakifunga taa za kuongozea magari katika barabara ya makutano ya barabara ya michezani na darajani ili kupunguza msongamano wa magari katika barabara hiyo. Taa hizo mpya zinachukua nafasi ya taa za zamani zilizoharibika kwa muda mrefu na kuacha eneo hilo bila ya taa kwa kipindi kikubwa na kuongezeka kwa msonganmano wa magari katika barabara hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.