Habari za Punde

Mkutano wa kuandaa ramani ya mji wa Zanzibar wafanyika


04Mkuu wa Mkoa Mjini Mgharibi Maalim Abdalla Mwinyi Khamis ambae alikuwa Mwenyekiti wa mkutano wa Mpango  wa kuandaa ramani ya mji wa Zanzibar akizungumza na washiriki wa mkutano huo.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.06   Baadhi ya washiriki wa mkutano uliojadili mpango wa kuandaa ramani ya Mji wa Zanzibar wakifuatilia maelezo yaliyotolewa kwenye mkutano huo katika Hoteli ya Marumaru.
03Mshauri mwelekezi kutoka kampuni ya Shapira Hellerman ya Israel,   Jos Hellerman akitoa taarifa  ya ramani ya Mji wa Zanzibar katika mkutano uliozungumzia mpango wa kuandaa matumizi bora ya ardhi katika Hoteli ya Marumaru, Shangani Mjini Zanzibar.01


Mkurugenzi  Mipango Miji na vijiji Muhammad Juma akitoa maelezo kwa washiriki wa mkutano wa kuandaa ramani ya Mji wa Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Marumaru, Shangani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.