Habari za Punde

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar ajiunga na Chama Kipya cha ACT

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg, Hamad Mussa Yussuf, kulia Akimkabidhi Kadi za Waliokuwa Wanachama wa CHADEMA, na kujiunga na Chama Kipya cha Siasa cha ACT, kilichopata Usajili wake hivi karibuni na kupata Wanachama wengi kukiunga mkono chama hicho, Akimkabidhi Katibu Mkuu wa ACT Ndg. Sansin  Mugambe, Wameamua kikihama Chama hicho kwa kupoteza muelekeo kwa kujiunga katika Umoja wa vYMA Vya Siasa .UKAWA na kupoteza mwelekeo kisiasa hapa Zanzibar  na kumamua kujiunga na  Chama hicho kipya.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.