Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), uliofanyika katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu za Mahakama ya Kimbari zilizo katika ukumbi huo wakati akiondoka baada ya kufungua rasmi Mkutano wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR, ulioanza kwenye Ukumbi wa AICC Jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa mkutano huo wa maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza Novemba 8, 2014 katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Picha na OMR
hii mahkama ni kwa mauwaji ya Rwanda tu au Africa nzima? sisi watanzania hatuwezi kupandishwa hapo hata tukiuwana?
ReplyDeleteKweli kufa kufaana,, baada ya genocide ya more than 1 million innocent people included women and children leo hii watu wanakutana kwa vikao blablabla na kulipana posho! Thus why sometimes It's a shame to be born in Africa.
ReplyDelete