Habari za Punde

Mchezio wa Kirafiki Zanzibar Heroes na Super Star

Beki wa timu ya Supar Stars Ali Mohammed, akijiandaa kuzuiya mpira huku mshambuliaji wa timu ya Taifa Zanzibar Hilika akijiandaa kuwania mpira huo.
Golikipa wa timu ya Super Stars Abdallah Rashid akidaka moja ya shuti zilizoelekea golini kwake wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
            Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar akiwapita mabeki wa timu ya Super Stars.
            Mchezaji wa timu ya Super Stars Ame Kibobea akiondoac mpira golini kwao.
Jopo la Makocha wa Timu ya Super Stars wakifuatilia mchezo wao wa kirafiki na Timu ya Taifa ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan.
              Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar wakiokoa moja ya hatari golini kwao.
Mshambuliaji wa timu ya Super Stars Hamad Mshamata akijiandaa kumpita beki wa timu ya Taifa ya Zanzibar Shafi Hassan, wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Taifa imeshinda 4--0
Mchezaji wa timu ya Super Stars, Hamad Mshamata, akimpita beki wa timu ya Taifa ya Zanzibar Ibrahim Hemed, wakati wa mchezo wao wa pili wa kujipima nguvu kwa matayarisho ya kushiriki kombe la Chalenji 
Mshambuliaji wa timu ya Super Stars, Ali Kani, akimpita beki wa timu ya  Taifa ya Zanzibar Awadh Juma, wakati wa mchezo wa kirafiki wa kijipima nguvu kwa ajili ya maandalizi ya michuani ya Afrika mashariki iliotegemewa kuaza tarehe 25,novemba 2014.
.Mshambuliaji wa timu ya Super Stars kushoto Hassan Banda na beki wa timu ya Taifa ya Zanzibar Mohammed Ibrahim, wakiwania mpira wakati mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Taifa imeshinda mchezo huo 4--0. 
Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan. 
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar Hemed Moroco akiwa na kocha Msaidizi wakifuatilia mchezo wao wa kirafiki na timu ya Super Stars,uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Taifa imeshinda 4--0

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.