MKUU mpya wa wilaya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na masheha, madiwani, wenyeviti na askari jamii wa Jimbo Mtambile wilayani humo, kwenye mkutano wake wa kujitambulisha kwa wananchi, tokea alipoteuliwa mwezi septemba mwaka huu, katikati ni afisa tawala wa wilaya hiyo, Abdalla Salim na kulia ni sheha wa shehia ya Mtambile (picha na Haji Nassor, Pemba)
mzee Mohamed Seif Rajab wa Mjimbini akitoa
malalamiko yake kwa mkuu mpya wa wilaya ya Mkoani, wakati mkuu huyo wa wilaya
alipofanya ziara maalumu ya kukutana na wananchi ikiwa ni sehemu ya
kujitambulisha kwake tokea alipoteuliwa na mwezi septemba mwaka huu (picha
na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment