WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star ya Kichungwani Chakechake Pemba, wakishindana kuruka kamba kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa tenis mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star ya Kichungwani Chakechake Pemba, wakishindana kuvuta kamba kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa tenis mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya
Star ya Kichungwani Chakechake Pemba, wakighani utenzi kwenye sherehe za siku
ya wazazi zilizofanyika uwanja wa tenis mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star ya
Kichungwani Chakechake Pemba, wakionyesha mchezo uliolenga kupiga vita ndoa za
mapema kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa tenis mjini
Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star ya
Kichungwani Chakechake Pemba, wakiimba wimbo wa kupinga unyanyapaa na ukimwi,
kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa tenis mjini Chakechake
(picha
na Haji Nassor, Pemba)
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star ya
Kichungwani Chakechake Pemba, wakiimba wimbo wa kuwakaribisha wageni kwenye sherehe
za siku ya wazazi, zilizofanyika uwanja wa tenis mjini Chakechake (picha
na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment