ASKARI wa Usalama barabarani wakiwa katika oporesheni kukagua magari
yanayotembelea bila ya kukamilisha taratibu za sheria za barabarani wakiwa
katika zoezi hilo katika barabara ya amaan jana
Abiria wa daladala wakiwa nje ya gari hiyo baada ya kupata pancha na
kulazimika kushuka katika gari hiyo kupisha kubadilisha mpira ili kuendelea na
safari yao wakiwa katika mitaa ya rahaleo jirani na klabu ya ujamaa kama
ilivyokutwa na mpiga picha wetu, ilikuwa ni kuwakimbia askari wa usalama barabarani
No comments:
Post a Comment