Habari za Punde

Barabara ya Jambiani Makunduchi Mgongo wa Ngisi

Barabara ya Jambiani Makunduchi imekuwa mkombozi wa Wananchi wa Vijiji hivyo viliwi kwa urahisi wa usafirishaji wa mazao ya baharini na ya kilimo kwa pande hizo mbili. Na kurahisisha usafirishaji wa Watalii wanaofika Jambiani na kutembelea Makunduchi.
Kibao kikionesho masafa kutoka Makunduchi hadi mjini katika maunganisho ya barabara ya makunduchi na Jambiani.

1 comment:

  1. Hio barabara inaitwa Paje Makunduchi, Jambiani imepita tu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.