Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Zanzibar,Ndg. Shaka Hamdu Shaka akizungumza
kwenye hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali kwa ajili ya vikundi vya ushirika, na michezo vilivyotolewa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha Suleiman Idd, iliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Chake Chake Pemba
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi, akimkabidhi mmoja wa kiongozi wa timu za mpira wa miguu kisiwani Pemba, makabidhiano hayo yamefanyika katika katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro chakechake Pemba.
Baadhi ya
vijana chipukizi wa CCM wakimsikiliza mke wa makamu wa pili wa rais wa Zanzibar
Mhe Balozi Sief Ali, mama Asha Suleiman Idd, kwenye hafla ya kukabidhi vifaa
mbali mbali kwa ajili ya vikundi vya ushirika, iliofanyika skuli ya Fidel
Castro Chake Chake Pemba
No comments:
Post a Comment