Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]
KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania
Mhe:Abrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM, wakati alipowasili katika
uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake Chake kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe: Mama
Asha Suleiman Iddi katika, kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,
Mhe: Pandu Ameir Kificho wakimsikiliza kwa makini Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Mhe:Dk Ali Mohammed Shein alipokuwa akizindua sherehe za Miaka 38 ya
Kuzaliwa kwa CCM, huko katika kiwancha cha Gombani yaq kale kisiwani Pemba. .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIJANA wadogo wa Chama cha Mapinduzi wakinyajua juu
bango linalomuonyesha muasisi wa CCM Tanzaia, ambaye pia ni Rais wa Kwanza wa
Tanzania Marehemu Mwalimu Juliasi Kambarage nyerere, huko katika sherehe za
kutimiza miaka 38 kuzaliwa kwa CCM.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
Zanzibar,Mhe:Dk Ali Mohammed Sheina akisalimiana na viongozi mbali mbali wa CCM
wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani ya Kale Pemba, kabla ya kuzindua
sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar,
Mhe:Dk Ali Mohammed Shein, akisalimiana na Mke wa makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi wakati alipowasili kwenye uwanja wa
Gombani ya Kale kisiwani Pemba.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar,
Mhe:Dk Ali Mohammed Shein, katikati akiwapigia makofi wananchi kulia ni Katibu
Mkuu wa CCM Tanzaia Mhe; Abrahman Kinana .(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Vuai Ali Vuai
akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Mhe:Abrahman Kinana wakati
wakiwa katika uwanja wa Gombani ya kale kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar,
Mhe:Dk Ali Mohammed Shein, akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa CCM Tanzania
Mhe:Abrahman Kinana wakati wakiwa katika uwanja wa Gombani ya kale kisiwani
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIJANA Chipkizi wa mikoa miwili ya Pemba,
akinyanyaua juu picha ya mwasisi wa TANU, marehemu Mwalimu juliaus Kambarage
Nyerere akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Mhe:Abrahman
Kinana wakati wakiwa katika uwanja wa Gombani ya kale kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIJANA Chipkizi wa mikao miwili ya Pemba,
akinyanyaua juu picha ya mwasisi wa Mpinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964, huko
katika sherehe za kuzaliwa kwa ccm gombani ya kale kisiwani Pemba VIJANA
Chipkizi wa mikao miwili ya Pemba .(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.
VIJANA Chipkizi wa mikoa miwili ya Pemba,akinyanyua
juu picha ya Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe:Dk Jakaya Mrisho Kikwete huko katika Sherehe za kuzaliwa kwa
CCM kutimia miaka 38 kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.
MJUMBE wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, ambaye pia
ni spika wa Baraza la Wawakilishi zanzibar Mhe:Pandu Ameir Kificho,
akiwasalimia wanaccm wa Mikoa Miwili ya Pemba, Katika sherehe za kutimiza miaka
38 ya kuzaliwa kwa CCM kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.
KATIBU mkuu wa CCM Tanzania Mhe:Abrahman kinana
akizungumza na wanaCCM wa mikoa miwili ya Pemba katika sherehe za kutimiza
miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM, huko katika uwanja wa gombani ya kale kisiwani
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.
MAKAMO mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Mhe:Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi wa Mikao miwili ya Pemba, katika hafla ya uzinduzi wa sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM huko katika uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake Chake Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
No comments:
Post a Comment