Habari za Punde

Katibu Wa Uenezi Nape Azungumza na Waandishi Zenj.

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi CCM,Ndg Nape akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika  Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, na kuzungumzia ajenda zilizozungumzwa na Kikao cha Siku moja cha kawaida cha Kamati Kuu. 
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM Ndg Nape Mnauye akitowa taarifa za Kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya CCM kilichokutana Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.
Waandishi wakiwa makini kuchukua habari wakati wa mkutano wa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM,iliokutana chini ya Mwenyekiti wake Dk Jakaya Mrisho Kikwete. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.